Hifadhi ya Asili ya Lagoas de Cufada
Hifadhi ya Asili ya Lagoas de Cufada inapatikana Guinea-Bissau . Ilianzishwa mnamo 1 Desemba 2000. Ina eneo la kilomita za mraba 890. [1] Lilikuwa eneo la kwanza lenye ulinzi nchini Guinea-Bissau.
Sokwe wanaripotiwa kuishi katika Hifadhi hiyo ya taifa.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |