Hicham El Amrani
Mandhari
Hicham El Amrani (alizaliwa Novemba 25, 1985) ni mchezaji wa soka wa Moroko.
Mlinzi huyu alicheza katika timu ya Morocco katika FIFA World Youth Championship ya 2005 nchini Uholanzi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hicham El Amrani FIFA competition record
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hicham El Amrani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |