Hermel
Mandhari
Hermel (kwa Kiarabu: الهرمل ) upo kwenye mji Baalbek-Hermel nchini Lebanon. Ni mji mkuu wa wilaya ya Hermel. Ndiyo sehemu ilipo taasisi ya Msalaba Mwekundu.[1]
Ni mji ambao waakazi wengi ni Waislamu wa dhehebu la Shia.[2] Kuna piramidi ya kale inajulikana kama Kamouh el Hermel iliyopo kilomita kama 6 kusini mwa mji ni kivutio cha watalii wa ndani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Our Centers Archived 2006-02-12 at the Wayback Machine
- ↑ "Car bomb blasts Lebanese town near Syria border", The Guardian, 2014-01-16