Herman Charles Bosman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
HC_Bosman

Herman Charles Bosman (3 Februari 1905 - 14 Oktoba 1951) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika hadithi fupi; mhusika mkuu wa hizo nyingi aliitwa Oom Schalk.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herman Charles Bosman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.