Herbert Cox (jaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sir Herbert Charles Fahie Cox (189321 Septemba 1973) alikuwa mwanasheria wa Uingereza ambaye alihudumu katika nyadhifa mbalimbali katika utumishi wa sheria za kikoloni, pamoja na nafasi ya jaji mkuu wa Rhodesia Kaskazini (1946 - 1951), Tanganyika (1952 - 1956) na Bechuanaland (1957 - 1961).[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mwaka wa 1893 huko British Guiana na kusomea nchini Uingereza. Alisoma katika shule ya sarufi ya Reading iliyoko mjini Reading, Uingereza, na alipokewa katika chama cha kati cha utaalamu (middle court) mnamo 31 Desemba 1910.

Herbert Charles Fahie Cox alikuwa mtoto wa pili wa Mhe. Charles Thomas Fox, Katibu wa Serikali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wright, Tim (2019), 13_Post-War_Reconstruction_1946-1953, A History Of The Northern Rhodesia Police, Northern Rhodesia Police Association, retrieved 29 July 2020
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Cox (jaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.