Henchir-Ezzguidane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Utawala wa Kirumi - Afrika Proconsularis (125 BK)

Henchir-Ezzguidane au Henchir el Zguidane ni eneo kwenye milima ya Djebel Fkirine katika Wilaya ya Zaghouan nchini Tunisia. [1][2]

Kuna magofu ya kasri ya Kibizanti na mifereji ya juu ya kutiririsha maji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Carte de l'Atlas archéolgique de la Tunisie: Feuille 42 , footnote 106.
  2. Barrington Atlas, 2000, pl. 32 E4.
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Ezzguidane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.