Nenda kwa yaliyomo

Helene Ahrweiler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Helene Ahrweiler

Helene Glykatzi-Ahrweiler (alizaliwa 29 Agosti 1926) ni msomi mwenye asili ya Kigiriki-Kifaransa na mtaalamu wa Byzantinolojia. Pia ni Balozi Mwema wa UNICEF kwa Ugiriki.

Katika kipindi cha mwaka 2008 kinachoitwa Great Greeks, aliitwa mmoja wa Wagiriki 100 wakubwa wa wakati wote.[1][2][3]

  1. "Όμιλος Ελένη Γλυκατζή-Αρβελέρ". glykatzi-arveler.
  2. "Helene Glykatzi-Ahrweiler". Greece.com. Iliwekwa mnamo 4 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Cox-Fill, Olivia (1996). "Hélène Ahrweiler". For our daughters: how outstanding women worldwide have balanced home and career. Greenwood Publishing Group. ku. 193–199. ISBN 978-0-275-95199-3.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helene Ahrweiler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.