Nenda kwa yaliyomo

Hassan Mtenga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hassan Mtenga (kutoka Mkoa wa Mtwara) ni mwanasiasa wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi jimbo la Mtwara Mjini tangu Novemba 2020. [1]

  1. "CCM dominates Parliamentary, Ward seats in Mtwara Region". Daily News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-04. Iliwekwa mnamo 2021-09-01.