Nenda kwa yaliyomo

Harry Voigt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harry Voigt (15 Juni 191329 Oktoba 1986) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki hasa katika mbio za mita 400.

Voigt alizaliwa mjini Berlin. Aliiwakilisha Ujerumani katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 1936 iliyofanyika Berlin, Ujerumani, kwenye mbio za kupokezana vijiti mita 4 x 400, ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Helmut Hamann, Friedrich von Stülpnagel, na Rudolf Harbig. Alifariki dunia huko Barver, Diepholz, Lower Saxony.[1]

  1. Biography ar Sports-reference.com