Nenda kwa yaliyomo

Harry Abbott (mwanakandanda, mzaliwa wa 1883)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harry Abbott (alizaliwa 1883) alikuwa mwanakandanda ligi kuu Uingereza katika klabu ya Bolton Wanderers, pia ligi kuu kusini mwa Uingereza katika klabu ya Swindon Town. Mara nyingi alikuwa akicheza upande wa kulia.[1]

  1. "Redirecting". www.swindon-town-fc.co.uk. Iliwekwa mnamo 2024-08-05.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harry Abbott (mwanakandanda, mzaliwa wa 1883) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.