Harald V
| Harald V | |
|---|---|
Harald akiwa amevalia nguo za kijeshi akiwa na umri wa miaka 56. | |
| Amezaliwa | 21 Februari 1937 |
| Amekufa | 28 Agosti 2026 (umri 89) |
| Cheo | Mfalme wa Norwei |
| Dini | Kanisa la Norwei |
| Mwenza | Sonja Haraldsen (m. 1968–present) |
Harald V (21 Februari 1937 - 28 Agosti 2026) alikua Mfalme wa Norwei kuanzia tarehe 17 Januari 1991 hadi kufariki kwake.
Alikuwa mwanachama wa House of Glücksburg, akiwa mtoto wa tatu na mwana wa kiume pekee wa Mfalme Olav V wa Norwei na Bintimfalme Martha wa Sweden. Alikuwa wa pili kwenye kuja kurithi kiti cha Ufalme wakati wa kuzaliwa kwake, akimfuata baba yake. Mnamo mwaka 1940, kutokana na uvamizi wa Wajerumani wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, Familia hio ya kifalme ililazimika kukimbilia uhamishoni. Harald alitumia sehemu ya maisha yake ya utotoni nchini Sweden na Marekani. Alirejea Norwei mnamo mwaka 1945 na alianza kusoma katika vyuo mbalimbali kama vile Chuo kikuu cha Oslo, Chuo cha Kijeshi cha Norway na Chuo cha Balliol, Oxford. Alikua mwanamichezo mahiri, aliwahi kuiwakirisha Norwei katika mashindano ya kupiga mashua kwenye michezo ya Olimpiki ya mwaka 1964, 1968 na 1972, na pia aliwahi kua mlezi wa shirika la World Sailing[1].
Harald alioana na Sonja na walipata watoto wawili: Märtha Louise (alizaliwa 1971) na Haakon Magnus (alizaliwa 1973).