Nenda kwa yaliyomo

Handwörterbuch Deutsch-Swahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Handwörterbuch Deutsch-Swahili (K. Legere) ni kamusi sanifu ya Kiswahili kwa lugha ya Kijerumani. Maneno ya Kijerumani yamepangwa pamoja na maana kwa Kiswahili.

Kamusi hii ilitungwa na kutolewa mwaka 1990 mjini Leipzig katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani kama "Wörterbuch Deutsch-Swahili" pamoja na "Wörterbuch Swahili - Deutsch". Mhariri mkuu alikuwa profesa Kartsen Legere. Baada ya maungano ya Ujerumani haki zilinunuliwa na kampuni ya Langenscheidt huko München na kutolewa upya 2001.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Handwörterbuch Deutsch-Swahili kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.