Hamka Haq
Mandhari
Hamka Haq (18 Oktoba 1952 - 7 Desemba 2023) alikuwa mwanataaluma na mwanasiasa Wa Indonesia. Alikuwa mbunge kutoka 2014 hadi 2019. Haq alifariki akiwa na umri wa miaka 71. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pemikir Kebangsaan dan Keislaman, Hamka Haq, Tutup Usia Ilihifadhiwa 8 Desemba 2023 kwenye Wayback Machine. (in Indonesian)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hamka Haq kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |