Nenda kwa yaliyomo

Halmstad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Halmstad

Halmstad ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 55,688 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1307.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 33.01 km². Iko kando ya Kattegat.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Halmstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.