Nenda kwa yaliyomo

Haki za mtu binafsi na za kikundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya haki za binadamu

Haki za mtu binafsi na za kikundi, pia zinazojulikana kama haki za asili, ni haki zinazoshikiliwa na watu binafsi kwa kualiwa (baadhi ya wanatheolojia wanaamini kwamba haki hizo hutolewa na Mungu).

Kwa ujumla, haki ya mtu binafsi ni dai la kimaadili la uhuru wa kutenda.[1]

  1. Tara Smith. "Moral rights and political freedom". archive.org (kwa Kiingereza).
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki za mtu binafsi na za kikundi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.