Nenda kwa yaliyomo

Haki za kiraia na kisiasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya haki za binadamu

Haki za kiraia na kisiasa ni aina ya haki zinazolinda uhuru wa watu dhidi ya kuingiliwa na serikali, mashirika ya kijamii na watu binafsi. Pia kuhakikisha haki ya mtu kushiriki katika maisha ya kiraia na kisiasa ya jamii na serikali.[1]

  1. "Human Rights: 1500–1760 – Background". Nationalarchives.gov.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-07. Iliwekwa mnamo 2012-02-11.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki za kiraia na kisiasa kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.