Nenda kwa yaliyomo

Haki za asili na haki za kisheria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya haki za binadamu

Baadhi ya wanafalsafa hutofautisha aina mbili za haki, haki za asili na haki za kisheria.

  • Haki za asili ni zile ambazo hazitegemei sheria au mila za tamaduni au serikali fulani, na vilevile ni za ulimwengu wote, za kimsingi na zisizoweza kubatilishwa (haziwezi kufutwa na sheria za binadamu, kama kukiuka haki za mtu mwingine). Sheria ya asili ni sheria ya haki za asili.
  • Haki za kisheria ni zile zinazotolewa kwa mtu na mfumo fulani wa kisheria (zinaweza kurekebishwa, kufutwa na kuzuiwa na sheria za kibinadamu).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki za asili na haki za kisheria kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.