Nenda kwa yaliyomo

Haki hasi na chanya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya haki za binadamu

Haki hasi na chanya ni haki zinazolazimisha ama kutotenda (haki hasi) ama kuchukua hatua (haki chanya). Wajibu huu unaweza kuwa wa tabia ya kisheria au ya kimaadili. Wazo la haki chanya na hasi pia linaweza kutumika kwa haki za uhuru wa binadamu.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Individual rights", Ayn Rand Lexicon.
  2. Bastiat, Frédéric (1995) [1848]. "The Law". The Law. Chapter 2 in Selected Essays on Political Economy. Irvington-on-Hudson, NY: The Foundation for Economic Education, Inc.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki hasi na chanya kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.