Haji Gora Haji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haji Gora Haji (1933 - 11 Juni 2021) alikuwa mshairi maarufu wa Kiswahili kutoka Zanzibar, nchini Tanzania[1][2].

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

 • Kimbunga: Tungo za Visiwani (Collection of poetry in Swahili, OCLC 225588833, 1994)
 • Utenzi wa visa vya Nabii Suleiman bi Daudi ("The Epic of Prophet Suleiman, Son of Daud", an epic poem about Solomon in Swahili, LCCN 2001313459, 1999
 • Poems (A collection of poetry translated to German, OCLC 658079178, 1999)
 • Maisha Yangu, 1993 - 2001 ("My Life, 1993 - 2001", an unpublished autobiography)
 • Kunganyira (a children's book in Swahili, ISBN 978-9987-411-11-5, 2004)
 • Nahodha Chu ("Captain Leopard", a children's book in Swahili, 2004)
 • Ujanja wa sungura ("The Cunning of the Hare", a children's book in Swahili, ISBN 978-9976-4-0083-0, 2004)
 • Jogoo na Kanga ("The Cock and the Guinea Fowl", a children's book in Swahili, ISBN 978-9966-010-86-5, 2004)
 • Kamusi ya kitumbatu (A Ki-Tumbatu - Swahili lexicon, ISBN 978-9987-9024-4-6, 2006)
 • Siri ya Ging'ingi ("The Secrets of Ging’ingi", a novel in Swahili, ISBN 978-9987-531-13-4, 2009; English translation, LCCN 2011349890, 2011
 • Shuwari ("The Calm", Swahili with English translations, ISBN 979-10-92789-19-5, 2019)

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. "Haji Gora Haji (poet) - Tanzania - Poetry International". www.poetryinternational.org. Iliwekwa mnamo 19 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
 2. "Tribute to Swahili poetry maestro Haji Gora Haji". The Star (kwa en-KE). Iliwekwa mnamo 19 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haji Gora Haji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.