Hadji Mberwa Musoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hadji Mberwa Musoni (aliezaliwa) Morogoro, 17 Mei 1980) ni mwanasoka wa Tanzania. Kwa sasa anacheza JKT Ruvu Stars.

Mberwa pia ameonekana mara moja katika timu ya taifa ya mpira wa miguu waTanzania.