Nenda kwa yaliyomo

Hadda Brooks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hadda Brooks
Alizaliwa Oktoba 29, 1916
Alikufa Novemba 21, 2002

Hadda Brooks (Oktoba 29, 1916 - Novemba 21, 2002) alikuwa mpiga kinanda, mwimbaji na mtunzi wa Marekani, ambaye aliitwa "Queen of the Boogie".[1] Aliwekwa katika kundi la watu maarufu wa Blues mwaka wa 1993 na Rhythm .[2]

  1. Watrous, Peter (Julai 26, 1989). "With Boogie-Woogie, Hadda Brooks Is Back". The New York Times.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hadda Brooks, the 'Queen of Boogie' dies, sfgate.com; accessed November 9, 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hadda Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.