Nenda kwa yaliyomo

Habari uongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanahabari kwenye habari uongo.

Habari uongo (kwa Kiingereza: fake news, junk news, pseudo-news au hoax news) ni aina ya habari au taarifa za upotoshwaji ambazo hufanyika kwa makusudi kwenye mitandao wa kijamii au katika magazeti.

  • BBC Swahili. 2020. « Faini itapunguza uenezaji wa habari za uongo kuhusu Covid19 ? » BBCNewsSwahili, Machi 2020. https://www.bbc.com/swahili/gnb-51735515.