Nenda kwa yaliyomo

Hüseyin Er

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hüseyin Er (14 Januari 1985 - 16 Mei 2021) alikuwa mchezaji kandanda kiziwi mzaliwa wa Kituruki ambaye alikulia na akiishi zaidi London pia alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya viziwi nchini uturuki.[1] [2]

  1. "İşitme engelli milli futbolcu Hüseyin Er vefat etti". Hürriyet (kwa Kituruki). 16 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Engellerini futbolla unutuyor". Hürriyet (kwa Kituruki). 9 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hüseyin Er kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.