Nenda kwa yaliyomo

Gyeongsangbuk-do

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Gyeongsangbuk-do
Mahali pa Gyeongsangbuk-do katika Korea

Gyeongsangbuk-do (경상북도 au 慶尙北道) au Gyeongbuk ni mkoa wa Korea Kusini. Mji mkuu ni Andong (안동시 au 安東市).


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gyeongsangbuk-do kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.