Gwala Torbiński
Mandhari
Gwala Torbiński, O.P. (14 Februari 1908 – 13 Julai 1999) alikuwa ndugu wa shirika la Wadominiko wa Polandi mwenye karama za pekee anayezingatiwa kwa ajili ya kutangazwa mtakatifu.[1]
Alijulikana kama "mhubiri wa kimya"[2] na "mmoja wa nguzo nne za kiroho za nyumba ya watawa ya Wadominiko huko Krakow." [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Causes Under Consideration". Hagiography Circle.
- ↑ "Personalizm w praktyce". magazynverbum.pl (kwa Kipolandi). 1 Februari 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Elżbieta Wiater (27 Julai 2018). "Cichociemny mistyk. Brat zakonny, który zmarł w opinii świętości". Aleteia Polska (kwa Kipolandi).
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |