Nenda kwa yaliyomo

Grace Jelagat Kipchoim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Jelagat Kimoi Kipchoim (3 Januari 1962 - 20 Aprili 2018) alikuwa mwakilishi wa Kenya katika bunge la kitaifa la kenya katika eneo bunge la Baringo kusini .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Grace Jelagat Kipchoim Overview :: Mzalendo". Info.mzalendo.com. Iliwekwa mnamo 2015-04-01.