Gombe, Wakiso
Mandhari
Gombe, ni mji mdogo katika Wilaya ya Wakiso katika Mkoa wa Kati wa Uganda.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Gombe ni takribani kilomita 3 (maili 1.9), kwa barabara, kaskazini - magharibi mwa Matugga kwenye barabara ya Matugga - Kapeeka.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Map Showing Matugga And Gombe With Distance Marker". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 Julai 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gombe, Wakiso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |