Goiânia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa GoiâniaGoiânia

Bendera
Majiranukta: 16°40′00″S 49°15′00″W / 16.66667°S 49.25000°W / -16.66667; -49.25000
Nchi Brazil
Kanda Central-West
Jimbo Goiás
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,265,394
Tovuti:  www.goiania.go.gov.br

Goiânia ni jina la mji mkuu wa jimbo la Goiás katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 749 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Goiânia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.