Godwin Aguda
Mandhari
Godwin Aguda Wanbe (alizaliwa Desemba 30, 1997) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye hivi karibuni alisajiliwa kucheza kama mshambuliaji, klabuni Falkenbergs FF katika daraja la Superettan nchini Sweden baada ya uchezaji wake kuwa bora na klabuya Rivers United katika ligi na mchujo wa CAF Confederations Cup.[1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Aguda ndiye kinara wa mabao wa 2018-19 CAF Confederation Cup akiwa na mabao sita.
Heshima
[hariri | hariri chanzo]- Kombe la Shirikisho la Nigeria
- Mshindi: 2018
- Ligi ya Soka ya Kulipwa ya Nigeria
- Mshindi: 2016
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]"
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Godwin Aguda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |