Nenda kwa yaliyomo

Go-Yozei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Go-Yozei wa Japani)
Mchoro wa Go-Yōzei

Go-Yozei (31 Desemba 157225 Septemba 1617) alikuwa mfalme mkuu wa 107 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kazuhito. Tarehe 17 Desemba 1586 alimfuata babu yake, Ogimachi, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Mei 1611. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Mizunoo.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Yozei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.