Go-Fushimi wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Go-Fushimi)
Mchoro wa Go-Fushimi

Go-Fushimi (5 Aprili, 128817 Mei, 1336) alikuwa mfalme mkuu wa 93 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tanehito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Fushimi. Mwaka wa 1298 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1301. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Nijo.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Fushimi wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.