Gloria Sarfo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gloria Osei Sarfo
Amezaliwa Gloria Osei Sarfo
Ghana
Jina lingine Gloria Sarfo
Kazi yake Mwigizaji na mtangazaji wa runinga

Gloria Osei Sarfo ni mwigizaji wa Ghana na mtangazaji wa runinga. [1][2] Alishinda Mwigizaji Bora msaidizi katika Tuzo za 2020 Africa Magic Viewers' Choice kwa uhusika wake katika filamu ya Shirley Frimping Manso ya The Perfect Picture - Miaka Kumi Baadaye. [3][4]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Sarfo alianza kazi yake ya uigizaji katikati ya miaka ya 2000, akiigiza katika Revele Films' Hotel Saint James. Alipata umaarufu baada ya kucheza nafasi ya Nana Ama katika Efiewura. [4][5]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Sarfo alishinda Mwigizaji Bora msaididizi katika Tuzo za 2020 Africa Magic Viewers' Choice. [6][7][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Cite web'''Maandishi ya kooze'''
  2. "Gloria Sarfo Shares Sorrowful Life Story with Patrons Of "Brave Not Broken" symposium". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
  3. 3.0 3.1 "Gloria Sarfo wins Best Supporting Actress award at AMVCA". MyJoyOnline.com (kwa en-US). 2020-03-14. Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
  4. 4.0 4.1 4.2 Mensah, Jeffrey (2020-03-14). "Gloria Sarfo wins Ghana's only award at AMVCA 2020; video drops". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
  5. Online, Peace FM. "Insiders Giving Social Media Trolls Info - Actress Gloria Sarfo". www.peacefmonline.com. Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
  6. "Gloria Sarfo speaks on AMVCA nomination". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
  7. "Gloria Sarfo scores first AMVCA nomination – Glitz Africa Magazine" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-03-16. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Sarfo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.