Gloria Mulungi Senyonjo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gloria Mulungi Senyonjo (pia anajulikana kama Baby Gloria, alizaliwa 28 Oktoba 2001) ni msanii wa nyimbo za Injili kutoka Uganda.

Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka miwili na nusu. Mwaka 2010 alishinda Tumaini Musical Award na Olive Musical Award mwaka 2011. [1] [2]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Baby Gloria anaendesha shirika la kutoa misaada liitwalo Gloria Hearts ambalo huwasaidia watoto wasiojiweza na alizindua shirika hilo mwaka 2016. [3]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Uganda, Flash (2020-11-28). "Baby Gloria: Biography, Songs, Mother and Age of Gloria Mulungi Senyonjo". Flash Uganda Media (kwa English). Iliwekwa mnamo 2022-03-11. 
  2. "THE YOUNG INSPIRING BABY GLORIA". FAMGUIDE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-16. 
  3. "Who Is Baby Gloria? Here’s Everything You Need to Know About Her". Lifestyle UG (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-03-11. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Mulungi Senyonjo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

]