Githinji Gitahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Githinji Gitahi, Ni daktari wa Kenya ambaye amehudumu kama Afisa mkuu mtendaji wa Amref Health Africa pia alikua mwenyekiti mwenza wa kamati ya uongozi ya UHC2030.[1] [2]mwezi julai 2021, aliteuliwa kama kamsishna katika tume ya Afrika ya Korona (COVID-19).[3][4][5][6]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Githinji alizaliwa 7 ya mwezi wa nane huko Othaya, Nyeri, Nchini Kenya. Mnamo Mwaka 1996 alihitimu chuo Kikuu cha Nairobi na Shahada ya Udaktari na upasuaji na Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara katika Masoko kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani (itaendelea).[7][8] Ana Cheti cha Mtazamo wa kimkakati kwa Usimamizi usio wa Faida kutoka Chuo Kikuu cha Harvard.[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dr Githinji Gitahi, Group CEO, Amref Health Africa". Amref Health Africa (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  2. "Amref CEO Dr. Gitahi appointed to the new commission on African COVID-19 response". PML Daily (kwa en-US). 2021-07-09. Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  3. "Gitahi Githinji, Amref Health Africa: Profile and Biography". Bloomberg.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  4. Grace Matheka (2021-07-03). "Dr. Githinji Gitahi has been appointed as a Commissioner for COVID-19 response in Africa". HapaKenya (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  5. "Dr Githinji Gitahi Appointed to the New Commission on African COVID-19 Response by South Africa President, H.E Cyril Ramaphosa". Kenya Monitor (kwa en-GB). 2021-07-02. Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  6. https://www.devex.com/news/perspectives-on-change-dr-githinji-gitahi-and-patrick-lembwakita-100185
  7. "Dr Githinji Gitahi". WorldConference (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  8. "Juliana Rotich & Former NMG MD Githinji Gitahi appointed to the Board of Standard Group - Kenyan Wallstreet" (kwa en-US). 2018-03-19. Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  9. https://www.theknowledgewarehouseke.com/dr-githinji-gitahi-top-25-ceos-setting-the-business-agenda-in-2021/