Giovanni Luppis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni (Ivan) Biagio Luppis Freiherr von Rammer (27 Agosti 1813 - 11 Januari 1875) alikuwa afisa wa Jeshi la Wanamaji la Austria-Hungaria.[1][2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Giovanni Luppis (au Ivan Lupis) alizaliwa katika mji wa Rijeka (wakati huo Fiume) mnamo 1813, ambao wakati huo ulikuwa sehemu ya Mikoa ya Illyria.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tucker, Spencer (2009). The Encyclopedia of the Spanish-American and Philippine-American Wars: A Political, Social, and Military History (kwa Kiingereza). ABC-CLIO. ISBN 978-1-85109-951-1. 
  2. Fowler, Will. The Story of Modern Weapons and Warfare (kwa Kiingereza). The Rosen Publishing Group, Inc. ISBN 978-1-4488-4793-8. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Luppis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.