Giovanni Faloci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Faloci (alizaliwa 13 Oktoba 1985) ni mrusha kisahani kutoka Italia. Alishindana kwenye michezo ya Olimpiki 2020 majira ya joto, kwenye kurusha kisahani[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Athletics FALOCI Giovanni - Tokyo 2020 Olympics (en-us). olympics.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.