Gilbert O. Erickson
Gilbert Oscar Erickson (Februari 10, 1878 – Machi 26, 1951) alikua mwanamichezo wa soka la chuo na mpiga picha na alikua miongoni mwa waanzilishi wa jumuiya ya kitaifa ya fasihi kwa viziwi na alihudumu kwa nafasi ya ukatibu.
Miaka ya mwanzoni
[hariri | hariri chanzo]Gilbert Oscar Erickson alizaliwa Februari 10, 1878, jijini Fergus Falls, Minnesota.[1][2]
Soka ya chuo kikuu
[hariri | hariri chanzo]Erickson alikuwa mchezaji mashuhuri wa Futiboli ya Marekani kwa timu ya Gallaudet Bison ya Chuo Kikuu cha Gallaudet.[3] Mnamo 1901 Timu ya mpira ya Gallaudet Bison, Erickson alichaguliwa na timu ya chuo. Erickson alikua nahodha wa timu mwaka 1902.
Jumuiya ya Kitaifa ya Fasihi kwa Viziwi
[hariri | hariri chanzo]Jumuiya ya Kitaifa ya Fasihi kwa Viziwi ilianzishwa Februari 6, 1907, kwenye jiji la Washington, D. C. Ilianzishwa na Erickson pamoja na wengine watao ambao majina yao ni John B. Hotchkiss, Rev. Herbert C. Merrill, Albert F. Adams, Rev. Arthur D. Bryant na Roy J. Stewart.[4]Erickson alikua kiziwi sababu alipatwa na homa nyekundu. Alikua ni katibu wa kwanza wa jumuiya ya Kitaifa ya Fasihi kwa Viziwi.[5]
Mpiga Picha
[hariri | hariri chanzo]Alikua mpiga picha katika chombo cha habari cha Wallace kwa miaka kumi na tatu.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Minnesota". Gallaudet College Catalogue: 26.
- ↑ The National Archives at St. Louis; St. Louis, Missouri; World War II Draft Cards (Fourth Registration), for The State of Illinois; State Headquarters: Illinois; Microfilm Series: M2097; Microfilm Roll: 79
- ↑ Oscar P. Schmidt (1902). "Football in the Southern Colleges". The Official National Collegiate Athletic Association Football Guide: 129.
- ↑ "Manuscripts".
- ↑ "100th anniversary of the National Literary Society of the Deaf". Library of Congress. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 14, 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Chicagoland". The Deaf-Mutes Journal (22). Juni 3, 1937. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2024-07-28.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)