Getatchew Mekurya
Mandhari
Getatchew Mekurya
Getatchew Mekurya Alizaliwa tarehe 14 Machi 1935 huko Yifat, Ethiopia.
14 Machi 1935 - 4 Aprili 2016 [[1]] alikuwa mpiga tarumbeta wa jazi wa Ethiopia.[[2]]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Mke wa Mekurya, Ayalech alifariki mwaka wa 2015. Mekurya alifariki mwaka wa (2016) kutokana na ugonjwa wa mguu uliosababishwa na kisukari, akiwa na umri wa miaka 81. Aliacha watoto tisa na wajukuu wengi.[[3]][[4]]
marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Getatchew Mekurya", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-04, iliwekwa mnamo 2022-05-10
- ↑ "Getatchew Mekurya", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-04, iliwekwa mnamo 2022-05-10
- ↑ "Getatchew Mekurya", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-04, iliwekwa mnamo 2022-05-10
- ↑ "Getatchew Mekurya", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-05-04, iliwekwa mnamo 2022-05-10