Gerhard Ludwig Müller
Mandhari
Gerhard Ludwig Müller (alizaliwa 31 Desemba 1947) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Ujerumani. Alihudumu kama Kardinali Mkuu wa Idara ya Mafundisho ya Imani kuanzia uteuzi wake na Papa Benedikto XVI mwaka 2012 hadi 2017.
Papa Fransisko alimteua kuwa Kardinali mwaka 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biographie von Bischof Gerhard Ludwig Müller". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |