Gerardus 't Hooft
Mandhari
(Elekezwa kutoka Gerard 't Hooft)
Gerardus 't Hooft (amezaliwa 5 Julai, 1946) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza mambo ya nyota na ya kwanta. Mwaka wa 1999, pamoja na Martinus Veltman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gerardus 't Hooft kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |