Georg von Bekesy
Mandhari
(Elekezwa kutoka Georg von Békésy)
Georg von Bekesy (3 Juni 1899 – 13 Juni 1972) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Hungaria. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza masikio ya binadamu. Mwaka wa 1961 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georg von Bekesy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |