Nenda kwa yaliyomo

Georg Friedrich Händel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Georg Friedrich Händel.

George Frideric Handel, jina lake kwa asili ya Kijerumani Georg Friedrich Händel (23 Februari 168514 Aprili 1759) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ujerumani. Alizaliwa Ujerumani, lakini alitumia maisha yake ya ukubwani akiwa nchini Uingereza.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georg Friedrich Händel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.