Nenda kwa yaliyomo

Gene Lockhart

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lockhart katika picha ya matangazo ya 1941

Edwin Eugene Lockhart ([[18 Julai], 1891 - 31 Machi 1957)[1] alikuwa muigizaji wa tabia, mwandishi wa tamthilia, mwimbaji na mtunzi wa maneno kutoka Kanada na Marekani.[2][3]


  1. "Gene Lockhart", The Canadian Encyclopedia.
  2. "Heart Seizure Is Fatal To Gene Lockhart", April 1, 1957, p. 11. 
  3. "June Lockhart remembers "A Christmas Carol" as a family affair", The Londoner, 15 December 2014. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gene Lockhart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.