Nenda kwa yaliyomo

Gabrielle Union

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gabrielle Union

Union mnamo mwezi wa Mei 2010
Amezaliwa Gabrielle Monique Union
29 Oktoba 1972 (1972-10-29) (umri 51)
Omaha, Nebraska, U.S.
Miaka ya kazi 1996–mpaka sasa

Gabrielle Monique Union (amezaliwa tar. 29 Oktoba 1972) ni mwigizaji filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa nyusika zake maaarufu ni pamoja na ule aliocheza na Kirsten Dunst kwenye filamu ya Bring it On. Union pia amepata kucheza na Will Smith na Martin Lawrence kwenye filamu bab-kubwa ya Bad Boys II na kucheza kama daktari kwenye mfululizo wa CBS wa City of Angels. Pia amepata kucheza na LL Cool J na Meagan Good kwenye filamu ya Deliver Us from Eva mnamo mwaka wa2003.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
  • She's All That (1999)
  • 10 Things I Hate About You (1999)
  • Love & Basketball (2000)
  • Bring It On (2000)
  • The Brothers (2001)
  • Two Can Play That Game (2001)
  • Welcome to Collinwood (2002)
  • Abandon (2002)
  • Deliver Us from Eva (2003)
  • Cradle 2 the Grave (2003)
  • Bad Boys II (2003)
  • Ride or Die (2003)
  • Breakin' All the Rules (2004)
  • Something The Lord Made (2004)
  • Neo Ned (2005)
  • The Honeymooners (2005)
  • Say Uncle (2005)
  • Running with Scissors (2006)
  • Constellation (2007)
  • Daddy's Little Girls (2007)
  • The Box (2007)
  • The Perfect Holiday (2007)
  • Meet Dave (2008)
  • Cadillac Records (2008)
  • Body Politic (2009)

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Family Matters - mfululizo wa TV (1993)
  • Saved by the Bell: The New Class - mfululizo wa TV (1995-1996)
  • Moesha - mfululizo wa TV (1996)
  • Malibu Shores - mfululizo wa TV (1996)
  • Goode Behavior - mfululizo wa TV (1996)
  • 7th Heaven - mfululizo wa TV (1996-1999)
  • Smart Guy - mfululizo wa TV (1997)
  • Dave's World - mfululizo wa TV (1997)
  • Hitz - mfululizo wa TV (1997)
  • Sister, Sister - mfululizo wa TV (1997)
  • City Guys - mfululizo wa TV (1997)
  • Star Trek: Deep Space Nine - mfululizo wa TV (1997)
  • Clueless - mfululizo wa TV (1999)
  • Grown Ups - mfululizo wa TV (1999)
  • H-E Double Hockey Sticks - TV film (1999)
  • ER - mfululizo wa TV (2000)
  • The Others - mfululizo wa TV (2000)
  • Zoe, Duncan, Jack & Jane - mfululizo wa TV (2000)
  • City of Angels - mfululizo wa TV (2000)
  • Close to Home - TV film (2001)
  • Friends - mfululizo wa TV (2001)
  • The Proud Family - mfululizo wa TV (2003)
  • The West Wing - mfululizo wa TV (2004)
  • Something the Lord Made - TV film (2004)
  • Family Guy - mfululizo wa TV (2005)
  • Night Stalker - mfululizo wa TV (2005-2006)
  • Football Wives - TV film (2007)
  • Ugly Betty - mfululizo wa TV (2008)
  • The BET Honors - TV film (2009)
  • Life - mfululizo wa TV (2009)
  • FlashForward - mfululizo wa TV (2009)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabrielle Union kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.