Gabès

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabes ni mji mkuu wa wilaya ya Gabès huko Tunisia.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 130,984[1]. Hivyo ni mji wa sita kwa ukubwa nchini Tunisia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gabès kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.