GAZ-53
Mandhari
Kampuni: | GAZ |
Aina: | 53 |
| |
Inchi za Kuzalisha | Urusi Bulgaria |
Abiria: | 3 |
Injini: | Dizeli, Silinda 8 |
Upana: | 2.38m |
Urefu: | 6.40m |
Urefu wa Juu: | 2.19m |
Uzito: | 2990kg |
GAZ 53 ni gari kutoka Urusi. Zilitengenezwa kutoka 1961 hadi 1993. Gari zaidi na miljoni 5 zilitengenezwa.