Gómez Palacio, Durango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jiji la Gómez Palacio
Nchi Mexiko
Jimbo Durango
Idadi ya wakazi
 - 239,842
Tovuti: www.inegi.gob.mx
Mji wa Gómez Palacio, Durango

Gómez Palacio ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Durango upande wa kaskazini-mashariki ya jimbo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 239,842 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1,150 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 382.3 km².

Mji ulianzishwa mwaka 1885.Location Gomez Palacio.png
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gómez Palacio, Durango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.