Nenda kwa yaliyomo

Friedrich Prince zu Schwarzenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Friedrich Prince zu Schwarzenberg

Friedrich Prince zu Schwarzenberg, (alizaliwa 6 Aprili 1809 huko Vienna, Austria27 Machi 1885 huko Vienna, Austria) alikuwa Kardinali Mkatoliki wa karne ya kumi na tisa kutoka Austria na Ufalme wa Bohemia na mshiriki wa familia ya House of Schwarzenberg.[1]

Sanamu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Vitus, Prague.
Muhuri binafsi wa Askofu Mkuu
  1. "The Catalogue".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.