Freweini Mebrahtu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Freweini Mebrahtu, ni mhandisi na mvumbuzi wa kemikali kutoka Ethiopia ambaye alishinda tuzo ya shujaa wa mwaka wa CNN wa 2019 kwa uharakati wake wa kuboresha upatikanaji wa elimu kwa wasichana. [1]

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Freweini alizaliwa Ethiopia na kusoma Marekani uhandisi wa kemikali katika Chuo Kikuu cha Prairie View A&M . Mnamo 2005, aliweka hati miliki kwenye pedi ya hedhi inayoweza kutumika tena hadi miaka 2 kwa uangalizi mzuri. Kufikia mwaka wa 2019, ameajiri mamia ya wenyeji katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, na kutengeneza zaidi ya pedi 700,000 zinazoweza kutumika tena ambazo hutolewa zaidi kwa mashirika yasiyo ya kiserikali. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Meet the 2019 CNN Hero of the Year". CNN.com. 9 December 2019. Iliwekwa mnamo 2019-12-09.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Meet the 2019 CNN Hero of the Year". CNN.com. 9 December 2019. Iliwekwa mnamo 2019-12-09.  Check date values in: |date= (help)"Meet the 2019 CNN Hero of the Year". CNN.com. 9 December 2019<s2019-12-09
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Freweini Mebrahtu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.