Fresnillo, Zacatecas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Fresnillo, Zacatecas



Fresnillo
Nchi Mexiko
Jimbo Zacatecas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 196,538
Tovuti:  www.fresnillo.gob.mx

Fresnillo ndiyo mji mkubwa katika jimbo la Zacatecas. Mji ulianzishwa na Francisco de Ibarra mwaka 1554. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 196,538 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 4,946 km².

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fresnillo, Zacatecas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.